Welcome to Church On The Rock Kimana official blog, Hope you will enjoy knowing us. We love you dear viewers
Tuesday, March 7, 2017
Monday, January 9, 2017
Injili ihubiriwe
Kazi kuu ya kanisa ni kuitangaza injili kwa mataifa yote, hilo ndilo agizo kuu aliloliacha Bwana YESU KRISTO kwetu
Saturday, January 7, 2017
RATIBA YA IBADA ZA KANISA
RATIBA YA IBADA ZETU na shughuli nyingine za kanisa ni kama ifuatavyo;-
SIKU MUDA TUKIO
Jumatatu 9:00pm - 11:00pm Mazoezi ya Praise & Worship team
Jumatano 3:00pm - 4:00pm Bible Study
9:00pm - 11:00pm Mazoezi Wingu la Neema Choir
Alhamisi Noon & Evening Home cells Service
Ijumaa 9:00am - 5:00pm Prayer session
7:00pm - 8:30pm Elders meetings
9:00pm - 5:00am Intercession overnight
Jumamosi 2:00pm - 4:00pm Mazoezi Wingu la neema choir
4:15pm - 5:30pm Mazoezi Sifa Voices Ministry
9:00pm - 11:00pm Mazoezi Praise & Worship team
Jumapili 9:00am - 10:00am Ibada ya Maombi
10:00am - 1:00pm Ibada kuu
Tuesday, January 3, 2017
Utambulisho kuhusu kanisa
Church on the rock Kimana ni kanisa la kiroho linalokua kwa kasi kubwa ambalo jukumu lake kubwa ni kuunganisha jamii na KRISTO, kuhudumia jamii kiroho na kuwafikia wahitaji. Kazi kubwa ya kanisa inatoka katika agizo kuu aliloliacha YESU KRISTO ambalo linapatikana katika kitabu cha Mathayo 28:19. Katika kutimiza majukumu yake ya kulitimiza agizo kuu, kanisa limefanikiwa kuwa na vikundi mbalimbali vinavyofanya kazi kwa pamoja kuufikia ulimwengu wote na kuwapa habari njema za wokovu.Vikundi hivyo ni pamoja na kikundi cha uinjilist na umisheni, vikundi vya uimbaji(Wingu la Neema choir, Sifa Voices Ministry na Praise and worship team), vikundi rika (vijana, wazee, watoto, wamama), vikundi vya ushirika wa nyumbani ( 11 home cells) ambavyo kwa pamoja vinafanya kazi chini ya REV. Jackson Ole Mwaura
Mahali pa kulipata kanisa(LOCATION)
Kanisa linapatikana Kimana town barabara ya kuelekea Loitokitok, kabla hujatoka nje ya town ya Kimana utaona bango kubwa litakalokuelekeza ni wapi linapatikana kanisa. Pia tuko na matawi Rombo na Tikondo B Kama ukishindwa kufika unaweza kupata msaada zaidi kupitia namba hizi za mawasiliano:-
+254724925911
KARIBU USHIRIKI NASI
Subscribe to:
Comments (Atom)


















